"Mahusiano yangu yalivunjika kwa ajili ya Valentine. Nakumbuka mwaka jana, 2024, niliandaa keki nikiamini mpenzi wangu atakuja tukate na tusherehekee pamoja. Lakini pia nilitarajia na yeye ataniletea ...