Kwa sasa ni mwimbaji wa nyimbo za injili. Hata hivyo, ameiambia Mwananchi kuwa mwaka 2013 aliugua maradhi ya figo ambayo yalimfanya alale kitandani kwa muda mrefu. "Mimi nimeokoka tangu mwaka 2013, ...
Naye, Diwani wa Kata ya Kidongo Chekundu, Chiku Mohamedi amesema baada ya kufika katika chumba cha marehemu alikuta nguo nyingi zimesambaa kitandani na chini sakafuni kilikutwa kipimo cha ujauzito.
Kulikuwa na taswira ya mtu mwingine kama mimi ambaye alikuwa akilala kitandani karibu nami. Hakuwa mgeni: Nilijua ni kivuli changu ama pacha wa mie.Ilikuwa ya kushangaza kidogo, lakini sikuogopa ...