Kufuatia ajali ya moto iliyoteketeza karakana na mabanda ya kuuzia samani za ndani katika Mtaa wa Ngoto mjini ya Morogoro, ...
HAITI : UMOJA wa Mataifa umeonya kuhusu ongezeko la mashambulizi dhidi ya vyombo vya habari nchini Haiti, akisema kuwa vyombo hivyo vinalengwa na magenge ya wahalifu yanayojaribu kuvinyamazisha.
VYAMA vya Ushirika vimeagizwa kutumia Mfumo wa Kidigitali wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika ( MUVU) ili kuwezesha upatikanaji wa maendeleo na ukuaji wa uchumi kupitia Tehama ikiwemo ongezeko la ...
"Tumetembelea vyanzo vyetu vikuu vya maji, mtambo wa kutibu maji, pamoja na mtambo wa kuchakata tope kinyesi ili wadau wetu waone jinsi maji yanavyozalishwa na umuhimu wa kulinda rasilimali hii muhimu ...
Kaimu Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza, Elisa Kamugisha akizungumzia moto uliotokea usiku wa kuamkia leo katika soko la mbao sabasaba Mwanza. Moto ambao bado chanzo chake ...