Licha ya kuzungukwa na vifusi vya vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyoendelea, wakazi wa Mogadishu mapema miaka ya 1990 walikumbatia nyakati za utulivu. Mwangaza wa jua wa Jumapili na upepo baridi ...
Kuna visa vinavyoongezeka vya saratani ya matiti, utumbo mpana na saratani nyinginezo kwa watu wenye umri wa miaka 20, 30 na 40. Ni nini kinaendelea? Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita ...
Alisema vituo vipya vya kutolea huduma za afya 183 vimejengwa, vikiwamo vyenye uwezo wa huduma za dharura za uzazi. Idadi ya vitanda vya hospitali imeongezeka hadi 126,209, ikiwa ni uwiano wa vitanda ...
SERIKALI ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, imewataka Wananchi na Vikundi vya Kijamii na Ushirika Wilaya ya Wete, kuitumia vema Elimu ya Fedha na Huduma Jumuishi za Kibenki zikiwemo za bima na mikopo nafuu ...
Upungufu huo wa kifedha umetokana na baadhi ya nchi wanachama kushindwa kulipa michango yao, jambo lililosababisha kushindwa kufanyika kwa vikao vya Bunge vilivyokuwa vimepangwa kuanza Januari hadi ...