Safari za ndege zimerejea tena katika Uwanja wa Ndege wa Heathrow jijini London nchini Uingereza jana Ijumaa jioni baada ya moto kuharibu usambazaji wake wa umeme na kufungwa kwa uwanja huo mkubwa kwa ...
Mkurugenzi wa Huduma za Msaada wa Kisheria wa Wizara ya Katiba na Sheria, Ester Msambazi, amesema katika kipindi cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, wizara imepokea jumla ya migogoro 677, ...
Luteni Kanali Hassan Ibrahim ameuawa pamoja na Kapteni Emad Eldein Hassan, mfanyakazi mwenzake mwenye cheo cha chini , jeshi ...
Zelensky anasema vikwazo dhidi ya Moscow lazima visalie "hadi Urusi itakapoanza kujiondoa kutoka kwenye ardhi ya Ukraine ...
Ukraine inatarajia kuwa shinikizo la kimataifa, hususan kutoka Marekani na NATO, litailazimisha Russia kufikia makubaliano ya ...
MOJA kati ya viatu maarufu duniani ni Air Jordan ambavyo vimebeba jina la mchezaji wa zamani wa kikapu wa Marekani Michael ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema lengo la serikali ni kuwa na mtandao mkubwa wa mabomba ya gesi pamoja na ... na wadau wa ndani ikiwemo Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ...
RIPOTI ya utafiti kuhusu afya ya akili imebaini vijana wa kitanzania wana ustahimilivu mkubwa wa akili, wakipata alama za juu katika ustawi eneo hilo kati ya nchi 76 zilizofanyiwa utafiti duniani.
Explore our collection of teaching resources for primary and secondary schools, perfect for inspiring your class with the joy of reading on World Book Day and with the wonder of stories during ...
Tukio dhaifu lakini muhimu la hali ya hewa la La Niña lililoanza Desemba mwaka jana linatarajiwa kuwa la muda mfupi, limetangaza leo Shirika la Umoja wa Mataifa la Hali ya Hewa Duniani WMO. Kupitia ...
Inachochea hofu ya vita vipya vya kibiashara kati ya mataifa hayo mawili yenye uchumi mkubwa duniani. Ushuru huu mpya wa 10% kwa bidhaa kutoka China utaongezwa kwa ushuru wa kiwango sawa ...
Taiwan ilisema ndege 45 za kijeshi za China zimeruka kwenye anga la kisiwa hicho kilichojitangazia uhuru, ikiwa ni idadi kubwa kabisa tangu uanze mwaka 2025. Haya yalijiri ikiwa siku moja tu baada ...