Safari za ndege zimerejea tena katika Uwanja wa Ndege wa Heathrow jijini London nchini Uingereza jana Ijumaa jioni baada ya moto kuharibu usambazaji wake wa umeme na kufungwa kwa uwanja huo mkubwa kwa ...
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amewasili Hungary siku ya Alhamisi, na kukaidi waranti wa kukamatwa uliotolewa na ...
Kwa ahadi za kupunguza deni la taifa na kusawazisha biashara ya kimataifa, Trump tayari amepitisha ushuru mkubwa dhidi ya ...
Jaji wa shirikisho Jumatatu alikosoa ufukuzaji wa haraka wa wahamiaji wanaoshukiwa kuwa wanachama wa magenge ya Venezuela na ...
Wakati NASA ilipokuwa ikichanganua matatizo ya kiufundi, kurudi kwa wanaanga hao kulicheleweshwa tena na tena. kuwa walikuwa ...
Vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) vimepungua kutoka 58,000 mwaka 2015 hadi 18,400 mwaka 2024, hii ikiwa ni sawa ...
KUNA lawama sasa kwamba kuna hatari ya vyanzo moto katika usafiri wa ndege, wanapokwa wamebeba ‘power bank,’ ikitajwa sasa kuwa chanzo cha moto kwenye ndege aina ya Airbus A321 nchini Korea Kusini.
Idadi ya waathirika wa tetemeko la ardhi lililoharibu eneo la kati la Myanmar inaendelea kuongezeka, yameonya mashirika ya Umoja wa Mataifa ya kibinadamu leo Jumapili, na kuongeza shinikizo kwa ...
Profesa Tumaini Gurumo anasema, mtazamo hasi juu ya fani ya ubaharia ndiyo chimbuko la wanawake wengi kuchelewa kuingia ...
Na winga wa zamani wa Manchester United, anayekipiga kwenye kikosi cha Nottingham Forest kwa sasa, Anthony Elanga naye alionekana pia kwenye mtindo huo, akiwa amevaa miwani yenye vioo vyekundu. Elanga ...