Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amewasili Hungary siku ya Alhamisi, na kukaidi waranti wa kukamatwa uliotolewa na ...
Kwa ahadi za kupunguza deni la taifa na kusawazisha biashara ya kimataifa, Trump tayari amepitisha ushuru mkubwa dhidi ya ...
Nilikuwa nikifanya kazi kama mtayarishaji wa matangazo katika afisi ya BBC mjini Moscow wakati ghafla habari muhimu ...
KUNA lawama sasa kwamba kuna hatari ya vyanzo moto katika usafiri wa ndege, wanapokwa wamebeba ‘power bank,’ ikitajwa sasa kuwa chanzo cha moto kwenye ndege aina ya Airbus A321 nchini Korea Kusini.
Idadi ya waathirika wa tetemeko la ardhi lililoharibu eneo la kati la Myanmar inaendelea kuongezeka, yameonya mashirika ya Umoja wa Mataifa ya kibinadamu leo Jumapili, na kuongeza shinikizo kwa ...
UNAPOZUNGUMZA na mabinti wawili, Arafa na Latifa na wazazi wao, Hashimu, Mazige na mama yao, Pili Mohamed, ukiwakagua ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Msaada wa Chakula Duniani WFP limesema leo kwamba dunia inakabiliwa na mgogoro ambao haujawahi kushuhudiwa. Hayo ni kutokana na kupungua kwa ufadhili kwa shirika ...
Anasema ataweka ushuru wa forodha wa asilimia 25 kwa magari yanayoingizwa nchini humo kuanzia Aprili 3 mwaka huu, na hatua yake imeibua miitikio mikali kote duniani.
Tourism, often highlighted for its role in economic development, also plays a significant role in fostering peace. On a global level, where nations are interconnected and interdependent, Tourism ...
Football Kenya Federation Chief Executive Officer Harold Ndege has called on football clubs to prioritize player welfare as a key measure in the fight against match-fixing. Ndege stressed that poor ...
Dar es Salaam. Leo Machi 30 dunia ikiadhimisha siku ya madaktari duniani, Ripoti mpya inaonyesha madaktari wa kike wana uwezekano wa asilimia 76 zaidi ya kufariki dunia kwa kujiua ikilinganishwa na ...
Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Myanmar, Julie Bishop, ameonesha wasiwasi mkubwa kuhusu tetemeko la ardhi lililozidisha hali mbaya ya kibinadamu nchini humo. Katika taarifa yake iliyotolewa leo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results