Watu wa kisiwa cha Indonesia cha Bali walisherehekea Mwaka Mpya katika kalenda ya Hindu kwa gwaride la sanamu kubwa za jinamizi. Mkesha wa Mwaka Mpya wa Kihindu ulikuwa juzi Ijumaa mwaka huu.
Rais Emmanuel Macron ametangaza euro bilioni mbili za msaada mpya wa Ufaransa kwa Ukraine. Kando na Volodymyr Zelensky, Emmanuel Macron amemshutumu moja kwa moja rais wa Urusi kwa kujifanya ...
Mvutano mpya umeibuka kati ya Rais Donald Trump na Vladimir Putin baada ya Trump kusema wazi kuwa amechukizwa na kiongozi huyo wa Urusi. Trump alisesema kuwa ana "hasira kubwa" na "amechukizwa" na ...
Hilali za mwezi maana yake ni mwezi mpya au mwezi mchanga unaoanza kuonekana tena baada ya hali ya kutoonekana kwe takribani mwezi mmoja na uonekana kwa umbo la upinde mwembamba. Hiali hii ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, leo amezindua rasmi Bodi mpya ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na kutoa maelekezo ...
Andrea Berta (53) ametangazwa rasmi kuwa amesaini mkataba wa kujiunga na klabu ya Arsenal kama Mkurugenzi wa Michezo. Berta ambaye ametangazwa mapema leo Jumamosi 30 na klabu hiyo ya Uingereza ...
Ripoti mpya zinadokeza kuwa zaidi ya watu 1,600 wamekufa nchini Myanmar kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililopiga taifa hilo la Kusini-Mashariki mwa Asia siku ya Ijumaa, huku maelfu ni majeruhi na ...
Na Mwandishi wetu Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeendelea kung’ara katika ulingo wa mawasiliano na uhusiano wa umma baada ya kushinda Tuzo ya Ubora ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results