Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewaweka njiapanda watia nia katika uchaguzi mkuu ujao baada ya kusisitiza ...
Simanzi na vilio vimeibuka nje ya Kituo Kikuu cha Polisi Arusha, baada ya majibu ya vinasaba (DNA) kutolewa na kuonyesha kuwa ...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, amesema Serikali ipo mbioni kuanza ujenzi wa reli ya ...
Serikali ya Sweden na Tanzania zimeingia mkataba wa miaka mitano kuanzia 2025 hadi 2029, lengo likiwa ni kuimarisha tafiti za ...
Teknolojia inaendelea kukua katika sekta ya uvuvi, na sasa biashara ya samaki na mazao yake inaweza kufanywa kidijitali kupitia mfumo wa Vua Uza na Nunua Samaki Kidijitali wa PFZ.
Mfumo unaotumia Akili Unde (AI), utakaomwezesha mtu kujipima na kubaini changamoto za afya akili kwa kutumia simu au kompyuta na kisha kupata ushauri wa kitaalamu, utazinduliwa Juni mwaka huu.
Tanzania imeanguka kwa nafasi moja katika chati ya viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Mpira wa Miguu duniani (FIFA) kwa mujibu wa viwango vilivyotolewa leo, Aprili 3, 2025.
Serikali Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imesema haitofanya uthamini kwa kaya 171 zilizogomea kwa awamu mbili tofauti ili kupisha upanuzi wa hifadhi ya milima ya Mahale inayoendeshwa na Shirika ...
“Ilikuwa jana Jumatano ya Aprili 2, 2025 saa 10 jioni mjukuu wangu alipokatishwa uhai na mtoto wa mpangaji wangu. Tukio hili ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema historia ya Zanzibar haiwezi kuandikwa bila ...
Wakati watu 14 wakifariki dunia huku wengine 117 wakijeruhiwa kwa ajali ndani ya siku nne, mkoani Kilimanjaro, mashuhuda wa ...
Watu watano akiwemo mtoto mwenye umri wa wiki mbili wamenusurika kufa baada ya mtambo aina ya tingatinga (bulldozer) ...