Amesema wao kama viongozi walipofika kwenye nyumba hiyo, walibomoa dirisha ili kuchungulia ndani, ndipo wakaona kuna mwili umelala kitandani huku harufu kali ikitoka, kuishiria kwamba mtu huyo tayari ...
Akutana na Dk Maua Daftari Dk Maua Daftari ambaye amekuwa naibu waziri kwenye wizara kadhaa amesema alionana na Profesa Sarungi wakati akifanya mafunzo kwa vitendo katika Hospitali ya Taiafa Muhimbili ...
Kwa mujibu wa mtaalamu wa afya na tiba kwa wanawake kutoka Marekani, Leah Millheiser, wanaume ndio mara nyingi hujizatiti sana kitandani wakati wa kitendo cha kujamiiana. Kujizatiti kwao kunaweza ...