Alisema vituo vipya vya kutolea huduma za afya 183 vimejengwa, vikiwamo vyenye uwezo wa huduma za dharura za uzazi. Idadi ya vitanda vya hospitali imeongezeka hadi 126,209, ikiwa ni uwiano wa vitanda ...
Alisema miradi ya shughuli za kiutalii ni 317, miradi ya nishati ni 247, miradi ya viwanda vya mbao ni 201, miradi ya uwekezaji katika viwanda 176 na miradi ya kilimo 118. Alitaja miradi mingine kuwa ...
Kilikuwapo kiwanda kingine kilichoitwa Sikh Saw Mill, maarufu kwa kuchakata mbao na kuzalisha samani, mbao za ujenzi na vifaa vingine vya matumizi ya viwandani na majumbani. Kiwanda cha tatu kilikuwa ...
Dar es Salaam. Stephen Wasira ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania. Amejitokeza katika medani za siasa na maendeleo ya Taifa kwa zaidi ya miongo minne. Alizaliwa Jumapili ya Julai Mosi, 1945 ...
Afisa huyo alizungumza na BBC huku vyombo vya habari vya Israel vikiripoti kuwa Hamas wamewasilisha matakwa ya dakika za mwisho katika makubaliano ya kusitisha mapigano - muda mfupi kabla ya Qatar ...
Mfumo wa kidijitali unafadhiliwa na serikali ya Canada kupitia shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia watoto (UNICEF) nchini Tanzania umeanza kuonesha mafanikio katika kurahisisha huduma kama vile ...
Utafiti unaonyesha kwamba shoka mpya zilifungwa kwa vipini vya mbao, na kutengeneza shoka lenye mpini. Chanzo cha picha, Getty Images Shoka zilienea kwa haraka kote barani Afrika, kisha ...