Kufuatia ajali ya moto iliyoteketeza karakana na mabanda ya kuuzia samani za ndani katika Mtaa wa Ngoto mjini ya Morogoro, ...
Kwa kila uhamisho wa pesa kupitia simu ya mkononi, kuna ushuru wa 1%. Vyama viwili vikuu vya kisiasa vya Mali, Yelema na M5RFP-Mali Kura, vimetoa wito katika taarifa ya pamoja ya kukomeshwa moja ...
Lakini Manchester United wanakimbizana na Newcastle na vilabu kadhaa vya juu vya Ulaya kumsajili Ekitike. (Football Insider) Nottingham Forest, Arsenal na Liverpool wanavutiwa na mshambuliaji wa ...
China yaionya Marekani kwamba iko tayari kupigana vita ya "aina yoyote" baada ya kujibu vikwazo vya kibiashara vilivyotangazwa na Donald Trump China imeionya Marekani kuwa iko tayari kupigana ...
Kaimu Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza, Elisa Kamugisha akizungumzia moto uliotokea usiku wa kuamkia leo katika soko la mbao sabasaba Mwanza. Moto ambao bado chanzo chake ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, kuhusu masuala ya vikao vya chama cha CHADEMA, akisema kuwa CCM haibishani ...
ULAJI wa vyakula vya protini, kwa wakazi wa vijijini ni mdogo usiozidi asilimia 60 ya ulaji uliopo mijini. Hali ambayo unaathiri lishe ya mama na mtoto inaanza kufanyiwa kazi katika kuleta maboresho, ...
SERIKALI imesema vifaa vya ujenzi vinavyozalishwa hapa nchini vinajitosheleza na hakuna faida ya watanzania kuendelea kununua kutoka nje ya nchini. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji ...
HAITI : UMOJA wa Mataifa umeonya kuhusu ongezeko la mashambulizi dhidi ya vyombo vya habari nchini Haiti, akisema kuwa vyombo hivyo vinalengwa na magenge ya wahalifu yanayojaribu kuvinyamazisha.
Uwekezaji duniani tangu mwaka 2000 katika mbinu za kusongesha uhai wa mtoto kumewezesha kupungua kwa zaidi ya asilimia 50 kwa vifo vya watoto wachanga wenye umri wa chini ya miaka mitano, ...