Kwanza, China haina mikakati ya kutosha ya kuingia katika vita vya kiuchumi ukilinganisha na ushuru wa asilimia 10 unaotozwa na Trump kwa bidhaa za China zinazoingia Marekani. Marekani ndiyo ...
Maelezo ya picha, "Rais Paul Kagame wa Rwanda anasema anapigana na vikundi vya waasi vinavyohusiana na mauaji ya kimbari." Katika mgogoro huu, kiongozi wa muda mrefu wa Rwanda, Kagame, ndiye ...
SERIKALI ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, imewataka Wananchi na Vikundi vya Kijamii na Ushirika Wilaya ya Wete, kuitumia vema Elimu ya Fedha na Huduma Jumuishi za Kibenki zikiwemo za bima na mikopo nafuu ...
Alisema vituo vipya vya kutolea huduma za afya 183 vimejengwa, vikiwamo vyenye uwezo wa huduma za dharura za uzazi. Idadi ya vitanda vya hospitali imeongezeka hadi 126,209, ikiwa ni uwiano wa vitanda ...
Upungufu huo wa kifedha umetokana na baadhi ya nchi wanachama kushindwa kulipa michango yao, jambo lililosababisha kushindwa kufanyika kwa vikao vya Bunge vilivyokuwa vimepangwa kuanza Januari hadi ...