Ingawa Kongo haimo katika ajenda ya kikao cha Baraza la Masuala ya Kigeni, vyanzo vya kidiplomasia vimetuthibitishia kuwa vikwazo vipya vya watu binafsi vitawekwa leoJumatatu Machi 17, 2025.
Chanzo cha picha, EDUARDO SOTERAS Wasiwasi wa vita kuzuka upya unatokana na kutokuwa na utulivu mpya katika eneo la Tigray, kaskazini mwa Ethiopia, ambapo vita vya kiraia vya kati ya 2020 na 2022 ...
Viwanda vikubwa vya bia vimeunda hata maziwa ya shayiri ya vegan yanayotokana na mashudu ya shayiri. Viwanda vikubwa vya bia vimetengeneza bidhaa nyingine kama maziwa ya shayiri yanayotokana na ...
Kampuni ya LG Electronics (LG) Afrika Mashariki leo imezindua chumba chake cha kwanza (showroom) cha maonyesho maalum kwa viyoyozi vya kibiashara (CAC) kwenye chumba cha maonyesho cha Mohamed ...
Unguja. Licha ya awamu ya pili ya uandikishaji wapigakura kulenga wananchi ambao wamefikisha umri na hawakuwahi kuandikishwa, imebainika wananchi wengi wanakwenda kwenye vituo vya uandikishaji ...
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum,Mwanaidi Ali Khamis,akizungumza na Kamati za MTAKUWWA II za wilayani Arumeru,vikundi vya malezi na wadau wengine wa masuala ya ...
Pamoja na kupambania huko, amesema Machi 4, 2025 walishangaa kuona matofali, kokoto na mchanga vikishushwa eneo ... kwani eneo lote lilikuwa limejaa vibanda vya wakazi hao ambavyo vingine walikuwa ...