Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amewasili Hungary siku ya Alhamisi, na kukaidi waranti wa kukamatwa uliotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa mwaliko wa mshirika wake ...
UNAPOZUNGUMZA na mabinti wawili, Arafa na Latifa na wazazi wao, Hashimu, Mazige na mama yao, Pili Mohamed, ukiwakagua ...
Dk.Biteko amesema kuwa lengo la Serikali ni kuwa na mtandao mkubwa wa mabomba ya gesi pamoja na vituo vya ... na kuzungumza na wadau wa ndani ikiwemo Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) ili ...
Safari za ndege zimerejea tena katika Uwanja wa Ndege wa Heathrow jijini London nchini Uingereza jana Ijumaa jioni baada ya moto kuharibu usambazaji wake wa umeme na kufungwa kwa uwanja huo mkubwa kwa ...
Leo, tunaangazia Mfumo wa Huduma ya Matibabu kwa Wazee Walio na Umri Mkubwa, moja ya mipango ya bima ya afya ya umma nchini humo. Mfumo wa Huduma ya Matibabu kwa Wazee Walio na Umri Mkubwa hutoa ...
EU kuendelea kuwa mbia wa uhakika wa UN Ushirikiano wa kimataifa ndio muarobaini wa changamoto duniani Vita Ukraine itaisha iwapo Urusi itaondoa majeshi yake Haki za wanawake ni msingi wa demokrasia ...
Amekuja kwa kasi sana. Wimbo mmoja tu wa 'Water' alioutoa mwaka 2023, umemtambulisha kimataifa na kushika chati mbalimbali duniani huku akijitambulisha kwa aina za muziki kama Afro Beat, RnB na ...
Amekuja kwa kasi sana. Wimbo mmoja tu wa 'Water' alioutoa mwaka 2023, umemtambulisha kimataifa na kushika chati mbalimbali duniani huku akijitambulisha kwa aina za muziki kama Afro Beat, RnB na ...
Zitto amesema Mzee Sarungi alikuwa ni shabiki mkubwa wa Simba na alijulikana kwa msimamo wa kutotaka kuona ligi ya Tanzania ikiporomoka au kupuuziliwa mbali na klabu mbili tu za Simba na Yanga. "Sina ...
Dar es Salaam. Leo ni siku ya kimataifa ya wanawake ambayo huadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka duniani kote kwa lengo la kutambua harakati ambazo zinalenga kupigania usawa kujinsia, haki ya kuzalisha, ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema lengo la serikali ni kuwa na mtandao mkubwa wa mabomba ya gesi pamoja na ... na wadau wa ndani ikiwemo Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ...
Tukio dhaifu lakini muhimu la hali ya hewa la La Niña lililoanza Desemba mwaka jana linatarajiwa kuwa la muda mfupi, limetangaza leo Shirika la Umoja wa Mataifa la Hali ya Hewa Duniani WMO. Kupitia ...