Safari za ndege zimerejea tena katika Uwanja wa Ndege wa Heathrow jijini London nchini Uingereza jana Ijumaa jioni baada ya moto kuharibu usambazaji wake wa umeme na kufungwa kwa uwanja huo mkubwa kwa ...
Jeshi la Sudan limedhibiti tena Ikulu ya nchi hiyo, iliyokuwa chini ya majehsi hasimu ya RSF, Nini kinafuata sasa baada ya ...
Wakati NASA ilipokuwa ikichanganua matatizo ya kiufundi, kurudi kwa wanaanga hao kulicheleweshwa tena na tena. kuwa walikuwa ...
Na winga wa zamani wa Manchester United, anayekipiga kwenye kikosi cha Nottingham Forest kwa sasa, Anthony Elanga naye alionekana pia kwenye mtindo huo, akiwa amevaa miwani yenye vioo vyekundu. Elanga ...
ABDUL Kessy Kasongo maarufu zaidi kwa jina la Abdul Zugo ni mtoto wa Dar es Salaam lakini heshima yake katika mchezo wa ngumi ...
Simba na Yanga wangeweza kufanya hivi kabla ya Singida. Wana mamilioni ya mashabiki duniani kote na kampuni yoyote ambayo ...
ABDUL Kessy Kasongo maarufu zaidi kwa jina la Abdul Zugo ni mtoto wa Dar es Salaam lakini heshima yake katika mchezo wa ngumi ...
Tangu M23 ilipochukuwa udhibiti wa mji wa Bukavu tarehe 15 Februari, mashirika ya kiraia katika mkoa wa Kivu Kusini yamerekodi takriban kesi sitini za ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu.
Huko, pia waliwafanyia ukiukwaji mwingine mkubwa na uhalifu, ikiwa ni pamoja na mateso na unyanyasaji ... Tume imegundua kuwa pande zote mbili za mzozo, kwa kutumia ndege zisizo na rubani, ziliwaua au ...
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Suleiman Kakoso alipofanya ziara ya kukagua na kutembelea miradi ya upanuzi wa bandari leo , uwanja wa ndege pamoja na maboresho ya ... wake" alisema Kakoso "Pamoja na ...
Mkurugenzi wa Huduma za Msaada wa Kisheria wa Wizara ya Katiba na Sheria, Ester Msambazi, amesema katika kipindi cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, wizara imepokea jumla ya migogoro 677, ...
Hapa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya wanawake Duniani CSW69 umebakiza siku moja tu kukunja jamvi kesho Machi 21. Wawakilishi wa nchi wanachama wa Umoja wa ...