Katika eneo la Garissa karibu na mpaka wa Somalia , Kamati ya kimataifa ya shirika la msalaba mwekundu,ICRC kupitia miradi ya maji kwa jamii ambao ni waathiriwa wa mzozo wa Somalia ,imeweza ...
Mawaziri wa Maji kutoka Ukanda wa Afrika Mashariki wamekubaliana kuwa na takwimu za pamoja kuhusu upatikanaji wa maji chini ya ardhi ili kusaidia utafiti na uwekezaji katika kukabiliana na mabadiliko ...
Mamlaka za afya nchini Tanzania zimethibitisha kuwepo kwa visa viwili vya ugonjwa wa Mpox baada ya watu wawili kugundulika kuwa na maambukizi hayo. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya imeeleza ...