Matokeo: chama tawala cha zamani cha Rais aliyeondolewa madarakani Alpha Condé cha RPG, kimesimamishwa kwa miezi mitatu. Hatua kama hiyo imechukuliwa kwa chama cha UFR cha Waziri Mkuu wa zamani ...
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Romanus Mapunda, ametangaza azma yake ya kugombea urais kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025. Mapunda, ...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema bado hajaona dalili za wananchi kutokukiamini chama hicho kutokana na kazi iliyofanywa na chama hicho ya kuboresha maisha yao.
Ileje. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema pazia la Uchaguzi Mkuu 2025, likifunguliwa vijana wanaojiona wanasifa wajitokeze kwenye kinyang'anyiro kugombea nafasi ya udiwani na ubunge bila kuwahofia ...
Inawezekana Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ACT-Wazalendo na vyama vichache makini, vina hoja ya msingi ya kutaka mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi, lakini inawezekana pia baadhi ya njia ...
Thank you for reporting this station. We will review the data in question. You are about to report this weather station for bad data. Please select the information that is incorrect.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results