lakini kulikuwa na tatizo - vitanda vyote 15 vya kituo hicho vilikuwa vimejaa. Kwa hiyo ikiwa alitaka kujiunga na kituo hicho, ilimbidi alale kwenye banda la mbao ambalo halina madirisha.